[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
Ujembe nzuri
Yaani hayo maombi iwe ndio mimi nimeishika taa ya kumwangazia carba....Asante shemeji. U nguzo imara kwa wengi. Mola Atakulipa [emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
Natumaini kutapambazuka muda si mrefu. Japo kutakuwa na ukungu lakini jua hatimaye litaangaza, ukungu utaisha na maisha yataendelea. Mungu Yupo [emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]