Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Unaweza kufikiri kuwa hakuna haja ya kujipongeza mwenyewe baada ya mafanikio ya jambo fulani, huu ni uongo ambao akili yako inataka kukuaminisha, kwani zipo sababu millioni za kujipongeza mwenyewe lakini kwa siku ya leo nitakutajia sababu 12 tu, kama ifuatavyo; –
 
1. Kama umejiwekea malengo fulani.
Kama umejiwekea malengo au una ndoto ambazo umeziwekea rehani maisha yako kuzitimiza, unayo sababu ya kujipongeza. Si kila mtu anaweza kujivunia kuwa na malengo au ndoto, unapaswa kufahamu ya kuwa mafanikio yoyote huanza na ndoto na malengo fulani.
 
5. Kama wewe ni msaada kwa wengine.
Siku zote tunazungukwa na watu waliopungukiwa au wasio na kitu kitu kabisa, na kama wewe ni mmoja kati ya watu waliojawa na upendo kiasi cha kumkunjulia muhitaji mkono wako
 
082e841cd32b4c5957fc6bcfa42bbd3c.jpg
 
Back
Top Bottom