Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Kwanza ataanza na zile nyimbo zake,halafu sasa maneno atakayosema[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ngoja mwenyeji wetu aje atie neno hapa. Neno lenyewe sasa...
Aaah huyo kaionea arsenal,weah katokea arsenalWhile Chelsea is producing Presidents like George Weah iko team imeproduce guiness ambassador anazurura hapa Africa akikunywa pombe anaitwa Henry Thiery....
Nimeenda[emoji124]♂
Aisee...Asante kwa sahihisho. Ndiyo maana alimwalika Wenga aende kushuhudia akiapishwa...Aaah huyo kaionea arsenal,weah katokea arsenal
andjul njoo huku Numbisa anakuchokoza[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kitufe hicho kilikuwa kimewekwa karibu na kitufe cha kawaida cha kutuma barua pepe na kiliwawezesha watumizi wa Gmail kusitisha mawasiliano ya kawaida na badala yake kutuma video fupi ya gif ya kibonzo kikiweka chini maikrofoni.