Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Ee wenger kamfundisha mengi na kumvumilia alipokua asenoAisee...Asante kwa sahihisho. Ndiyo maana alimwalika Wenga aende kushuhudia akiapishwa...
Ee wenger kamfundisha mengi na kumvumilia alipokua asenoAisee...Asante kwa sahihisho. Ndiyo maana alimwalika Wenga aende kushuhudia akiapishwa...
Uwiiii !!! Nimeona like ya malkia ISIS leo hapa. Karibu sana sis Masaki is my home full kipupwe kujiachia money loves me...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ukiskia dem anataka boy mfupi,[emoji137]♂[emoji137]♂mpee number zangu..[emoji12][emoji12]♂♂
[emoji23][emoji23]
Akija aisee nitag. Jibu lake lazima litanifanya nicheke tu niongeze siku miye...andjul njoo huku Numbisa anakuchokoza[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hahahahhahaa hapo alipo tu anaushukuru uzi wetu pendwa kila dakika,natumaini keshachapisha avatar zetu katubandika sebulen weueweee chezea mnyakyusa orijino
Kuna wakati aliweka picha ikiwa na majina yetu yote yamendikwa kwa mkono akitushukuru. Sitashangaa kama hayo majina yote yako framed sebuleni Kibamba...Hahahahhahaa hapo alipo tu anaushukuru uzi wetu pendwa kila dakika,natumaini keshachapisha avatar zetu katubandika sebulen weueweee chezea mnyakyusa orijino
Wewe tena,hata usijaliAkija aisee nitag. Jibu lake lazima litanifanya nicheke tu niongeze siku miye...
Hahahahaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
We numbisa wewe
Sipati picha waenda kibamba wakutana na avatar yako ukutani[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kuna wakati aliweka picha ikiwa na majina yetu yote yamendikwa kwa mkono akitushukuru. Sitashangaa kama hayo majina yote yako framed sebuleni Kibamba...
umenikumbusha ile biblia mie nikaona surual tu hahahaKuna wakati aliweka picha ikiwa na majina yetu yote yamendikwa kwa mkono akitushukuru. Sitashangaa kama hayo majina yote yako framed sebuleni Kibamba...
Hata sijaenda insta na katika vitu ambavyosifuatili ni ishu za dini na siasaHahahahaa
Carba umeona ubuyu wa bifu la insta ila lile bifu linachafua dini tu bila sababu
Tena ile ya kwanza ya mkoromije orijinoSipati picha waenda kibamba wakutana na avatar yako ukutani[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Uuwiiii
Ndo safi usifatilie zile kashfa sio nzuri kwa ustawi wa dini.Hata sijaenda insta na katika vitu ambavyosifuatili ni ishu za dini na siasa
Sijui nikoje[emoji19][emoji19][emoji19]