Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Ni aibu tu yaani. Shehe wa watu angejua pengine angejikalia kimya tu. Kupambana na huyo mama tena mtandaoni ni kuendelea kujishushia heshima tu. Inabidi uwe na moyo wa chuma kama Le Mutuz.
Ila sema ule ukweli huyu mama usipitwe angekaliwa kimya bado angeendeleza chokochoko. Ile picha sheikh alikua msiban ina maana ukienda msiban ubague wa kukaa nao?mbona lowassa kaenda kuongea na maguful hajamtukana kihivyo. Nataman niione siku huyu mdada akidakwa na kurudishwa bongo moja kwa moja gerezan imetosha sasa
 
Mfalme wa pili wa roma Numa Pompilius aliamua kubadilisha kalenda hii kwa kuongeza miezi miwili, Januari na Februari baada ya Desemba ili kumalizia zile siku za majira ambazo hazikuwekwa kwenye kalenda. (Januari ulikuwa mwezi wa 11 na Februari wa 12). Miezi hii miwili iliyo ongezwa ilikuwa na siku 29 kama miezi mingine.
 
Baada ya kipindi kirefu miezi iliongezwa siku hadi 30 kwa sababu alizo zijua mfalme wa kipindi hicho. Kama hiyo haikutosha baadhi ya miezi iliongezwa siku moja, hivyo kufikia siku 31. mwezi wa siku 31 ulifuatiwa na mwezi wenye siku 30.
 
1aac908129f1c7d92a636265d15b3130.jpg
 
Baada ya kipindi kingine kirefu, mfalme aliamua kuongeza siku moja katika mwezi Agusti ili kumuenzi Kaisari Agustus, siku hiyo aliitoa katika mwezi wa februari ili asibadilisha urefu wa mwaka. na hiyo ndiyo sababu mwezi huu wa Februari unakuwa na siku 28/29. na pia ndio sababu miezi Julai na Agusti inayo fuatana yote ina siku 31.
 
Ila sema ule ukweli huyu mama usipitwe angekaliwa kimya bado angeendeleza chokochoko. Ile picha sheikh alikua msiban ina maana ukienda msiban ubague wa kukaa nao?mbona lowassa kaenda kuongea na maguful hajamtukana kihivyo. Nataman niione siku huyu mdada akidakwa na kurudishwa bongo moja kwa moja gerezan imetosha sasa
Tatizo ni Mmarekani na hawatamgusa. Nadhani analipwa kwa haya mambo anayofanya. Na ana wafuasi wakereketwa kweli kweli.
 
You greeted me hi, I didn't reply. You gave me a sweet smile, I responded with a sigh. You showed me your love, you received a shrug. But when you bid goodbye I began to cry.
 
UPENDO si ndege ukaonekana angani,
UPENDO si tunda lichumwalo mtini,
UPENDO si wimbo ningekuimbia, UPENDO si vazi ningekushonea,
UPENDO si picha yangu ningekutumia bali
UPENDO ni thamani iliyoko moyoni mwangu.
nakupenda na nakutakia usku mwema.
 
Back
Top Bottom