Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Kiherehere inaitwaje kwa English, kuna Mzungu tunabishana hapa na nimeshindwa kumwaambia aache kiherehere [emoji23][emoji23][emoji134]
Bado hajaupata umarekan anamiliki green card napo alisaidiwa na mumewe kuipata. Bado anatumia passport ya Tanzania. Angeupata umarekan kamili lazima angetangazaTatizo ni Mmarekani na hawatamgusa. Nadhani analipwa kwa haya mambo anayofanya. Na ana wafuasi wakereketwa kweli kweli.
[emoji106] [emoji106]kwa utu wetu na uzalendo wetu
AminMungu atupe afya daima