Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

24198436bce03fab904858f4d279283c.jpg
 
Kama mpila ungekua ni shule
1:mwalimu mkuu__Alex Ferguson
2:mwalimu mkuu msaidizi__pep guardiola
3:mwalimu wa uchumi__wenga
4:mwanafunzi mwenye tamaa na pesa yaan yupo tayari shame shule nzuri lakin apewe pesa__Neymal
5:mwanafunzi anayependa alama za juu __Ronaldo
6:mwanafunzi ambao wenyewe kila siku wanaumwa__Dembele,Bale
7: mwanafunzi ambaye anang'ata watoto wa shule za jilani__Suarez
8:mwanafunzi ambaye anapenda masomo sana na amawasaidia wenzake kufauru __Xavi
9:wanafunzi ambao kila siku ni matatizo shuleni ,Mara wapigane __pepe,gattuso,Di canio
10:mwanafunzi ambaye amrzoea kufukuzwa darasani__ramosi
11;mwanafunzi mjinga ,anapata alama za chini na hapendwi na watu japo anasoma shule nzuri___Bakayoko
12:mwanafunzi ambaye anaprnda kuhama shule ,yaani yeye shule karibia zote amesoma__Zlatan Ibrahimovic
13:mwanafunzi mpole,na yeye ndio analiokoa darasa__Hazard
14:mwanafunzi anayependa kufanya utani akiwa bakabenja__Marcello
15:mwanafunzi ambaye anapenda mitihani mirahisi akipewa mtihani mgumu anahama shule__Dani Valves
16:mwanafunzi anayependa kujiremba na anapenda sana wanawake__pogba
17:mwanafunzi ambaye anapenda kuhudhuria shule kikasiku lakini anafeli __Mephis Delay
18:mwanafunzi ambaye analaumiwa sana na walimu __Balottel
*_Najua wengi mnahangaika kumtafuta Messi ,Messi ndio mmiliki wa shule._*
 
Hulali leo?
Rudi kulala pls
[emoji8][emoji9][emoji11][emoji10][emoji8][emoji9][emoji11][emoji10][emoji176][emoji173][emoji180][emoji818][emoji817][emoji817][emoji817][emoji8][emoji9][emoji11][emoji10][emoji8][emoji9][emoji11][emoji10][emoji173][emoji180][emoji176][emoji818][emoji8][emoji9][emoji11][emoji10]
 
[emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8] lala basi daddy[emoji8] [emoji9] [emoji9] [emoji9] [emoji9] [emoji9] [emoji9] [emoji9] [emoji182]
 
[emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8] lala basi daddy[emoji8] [emoji9] [emoji9] [emoji9] [emoji9] [emoji9] [emoji9] [emoji9] [emoji182]
Hiyo avatar yako mpya inanimaliza kabisa. Narudi kulala. Thanks for caring ngole wane nonu...[emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8]
 
Back
Top Bottom