ho chi minh
JF-Expert Member
- Sep 27, 2016
- 32,904
- 163,077
Hahahahaaa yaan inapofika muda wa kuambiwa utoke huwa najifikiria mwenyewe uzi umenoga unaambiwa ukalale duh .pole ndo raha ya kuitwa daddy au shemejiASANTE kwa kunitetea Numbisa. Huwa naonewa sana na hawa wifi zako. Nami huwa nawatii tu ili kuzuga japo nakuwa macho nagonga likes kimya kimya...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]