Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Maskin shimba,namhurumiaga mnapomfukuzaaaaaaaa


Kuna saa usingizi unagoma kisha kesho yake ni off hivyo kunakua hakuna hasara
ASANTE kwa kunitetea Numbisa. Huwa naonewa sana na hawa wifi zako. Nami huwa nawatii tu ili kuzuga japo nakuwa macho nagonga likes kimya kimya...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…