Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Baada ya kuwa na kila aina ya mapambo unayoweza kupendezeshea kuta za nyumbani, unachotakiwa kufahamu ni namna ya kuyachagua huko yanapouzwa au hata kutoa oda ya kutengenezewa.

Chagua sanaa kwa ukubwa utakaotosha ukuta fulani. Pambo ambalo ni kubwa sana litauzidi nguvu ukuta na lile ambalo ni dogo sana litamezwa na ukuta.
 
Ni vizuri kuchagua pambo ambalo litaleta uwiano na mahali unapotaka kulitundika. Pambo linapokuwa kubwa ndivyo linavyohitaji ukuta mkubwa lakini likiwa dogo kadhalika na ukuta uwe mdogo.

Ni vizuri kupima eneo unalotaka kutundika pambo na kuacha nafasi ya kutosha kati ya moja na lingine ili yasionekane kurundikana.
 
Chagua pambo ambalo linaendana na mandhari ya chumba kwa kuangalia rangi kuu mbili ambazo zimeshamiri (zinachomoza zaidi ya nyingine hata kama haziko eneo kubwa) katika chumba na uchague pambo la ukuta ambalo lina rangi hizo.

Kumbuka kuwa lengo sio saresare ila kuchagua pambo lenye rangi moja kati ya rangi kuu chumbani inatoa ujumbe kwamba hilo pambo linatakiwa kuwa katika mazingira hayo linapendezesha na linahitajika.
 
Kama pambo ni picha ya ukutani ni vyema ujue kuwa fremu pana na yenye rangi ya kuwaka inaficha picha ya ndani yake.. Kwa hivyo fahamu lengo lako kama ni je, unataka picha ya ndani ionekane zaidi au unataka fremu iliyozungushia picha ndio ionekane zaidi.

Utafikia maamuzi ya kununua pambo fulani baada ya kuona mapambo ya mitindo na miundo mingi tofauti. Angalia kwenye majarida, mitandao, madukani, makumbusho na kwa wachoraji aina mbalimbali ya sanaa za ukutani kabla ya kufikia uamuzi wa unayoihitaji.
 
Jambo jingine la kufahamu ni kiasi cha mwanga kilichopo mahali unapotaka kutundika pambo.

Hakikisha mwanga ni wa kutosha kuliwezesha lionekane. Chagua sanaa yenye kuonekana vizuri kama ni picha iwe ang’avu vya kutosha toleo la mwanzo na sio iliyorudufishwa mara kadhaa.
 
Sijakamata mahari kwa muda mrefu. Naziona dalili za kukamata ng'ombe 50+ soon. Niko stendibai...!!!
Naona una hamu ya kubet ee. Ka moyo kangu ka chuma hakanaga emotion or love things. Ka valentine kaleeeee watu watateketeza million 22 usiku mmoja wengine tutakua busy kupaka majivu woooiiii
 
15bae18b57b1acfdcb1bf1ef945d65ba.jpg
 
Back
Top Bottom