Cole Williams
JF-Expert Member
- Jun 1, 2016
- 35,345
- 201,629
Bully
Asanteeee mniingize na mm kwenye uzi huu maana mgeni bado[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]... Watu mnajua kupangilia matukio aisee, sawa bhana! Asante na wewe pia uwe na siku njema!
NnKwanini inakuwaga hivi
Sijui niibe wap avatar mpya maana duhHiyo Avatar
Welcome demiss, hapa tunakula likes na kutoa likes kazi kwisha. Tupia nondo kula likes toa likes jisikie upo homeAsanteeee mniingize na mm kwenye uzi huu maana mgeni bado