Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Mungu wetu ni wa ajabu sana [emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]

Na uwezo wetu sisi binaadam wa kuyatambua na kuyatawala yale yanaotuzunguka ni kama tone la damu kwenye Bahari ya Hindi! Kama kuna galaxies zaidi ya billioni moja kwenye hii universe, sisi bado tunahangaika na hii moja tuliyomo; hayo mabillioni mengine tutayatafiti lini? [emoji15][emoji15]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…