ho chi minh
JF-Expert Member
- Sep 27, 2016
- 32,904
- 163,077
Jakitoo habari yakoTGIF
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Hawa jamaa wa bodaboda akikubeba wanakuongelesha,Halafu husikii kwa sababu ya upepo..unabakia kuitikia eeeh eeh ,ndio ndioo.
Unaweza jikuta umekubali kuolewa hivi hivi bila kujijua...Akakuuliza Nikupeleke gheto.
Wewe ndio...eeh eeh
Nipo mkuu ni majukumu ya hapa na pale tu....Mzima, umeadimika jukwaani mkuu
Duh !!!Iko hivyo tu, Mkate utabaki kuwa mkate tu mbele ya chai, labda kama chai yako imepoa[emoji3]
Pengine siku mambo ya kwenye science fiction yakiwezekana - time machine travel, worm hole, matter beaming na mengineyo...Ni maajabu yenye maajabu ya kutisha [emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]Na uwezo wetu sisi binaadam wa kuyatambua na kuyatawala yale yanaotuzunguka ni kama tone la damu kwenye Bahari ya Hindi! Kama kuna galaxies zaidi ya billioni moja kwenye hii universe, sisi bado tunahangaika na hii moja tuliyomo; hayo mabillioni mengine tutayatafiti lini? [emoji15][emoji15]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Endelea kushangaa kiongozi[emoji3] mnapoambiwa vyuma vime... hamuamini. Likes za hapa ni ngumu
[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]Mwenyezi Mungu atujaalie tuidiriki siku hii muhimu na tuvipate vyema vyote vinavyopatikana asubuhi, mchana na jioni ya siku ya Ijumaa