Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Namna Ya Kufanya

changanya juice ya ukwaju, rose water na asali
paka mchanganyiko huu katika shingo na uuache kwa dakika 20
osha shingo yako kwa rose water au maji ya uvuguvugu
Fanya hivi mara moj kwa week katika kipindi cha miezi miwili utaona matokeo
 
Matumizi

changanya mahitaji yako ( mtindi, ukwaju na manjano)
paka usoni na ukae nao mpaka ukauke, unaweza kuchukua dk 20-30
osha uso kwa maji ya vuguvugu na paka mafuta kwa ajili ya ku moisturize ngozi
Fanya hivi mara mbili kwa week sio tu itaondoa chunusi bali pia itakupa ngozi nyololo
 
tumbukiza taulo katika maji ya moto na ukamue kidogo
tumia taulo hili kufunga kichwa chako kikiwa bado kina mchanganyiko huo, acha mchanganyiko huu kwa nusu saa.
osha mchanganyiko wako kwa shampoo ukifuatiwa na conditioner
fanya hivi mara mbili kwa week kuzuia kukatika kwa nywele
 
Husaidia kutibu ngozi ya kichwa yenye mafuta

ngozi yenye mafuta inaweza kusababisha matatizo mengi kwenye nywele ikiwepo m’ba na kukatika kwa nywele

Mahitaji

juice ya ukwaju (nzito) – vijiko viwili
olive oil – kijiko kimoja
butter milk – kijiko kimoja
 
Matumizi

changanya juice ya ukwaju,olive oil na butter milk
paka mchanganyiko wako katika nywele na umassage kwa muda wa dk 5-10
acha mchanganyiko wako ukae kwa dakika 15, kama utakua unakukera vaa mfuko wa plastic
osha kwa kutumia maji ya vuguvugu na shampoo
rudia kufanya hivi mara mbili kwa wiki kuondoa mafuta katika ngozi ya nywele zako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…