Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Siku ya wapendanao ni sikukuu ambayo huadhimishwa kila ifikapo tarehe 14 Februari ya kila mwaka (Valentine Day ).
Historia yake imeanzia karne ya 3 huko Roma ambapo alikuwapo padri Valentinus ambaye akaja kuheshimiwa kama mtakatifu hasa tarehe hiyo.
 
Uso mweusi una ukosefu wa pembe kwa sababu hio watu wenye nyuso za duara wanaonekana wana nyuso pana kuliko kawaida,pia vi-devu vyao huwa vya duara ambavyo vinafanya uso uonekane mnene na umejaa, lakini kwa kutumia tips chache katika makeup kunaweza kufanya tofauti katika uso wako.
 
Aina tatu za maumbo ya nyusi zinazofaa kwa watu wenye nyuso za duara,

Unatakiwa kuchagua aina ya shape ya nyusi ambayo itasaidia kupunguz upana wa uso wako,na ku highlight feature za uso wako vizuri,unatakiwa kuwa muangalifu katika kuchagua shape ya nyusi kwa sababu ukichagua aina isiyo faa itaharibu muonekano mzima
 
Hahhahaa starehe za watu hizo. Wigi zinaongeza mvuto bana. Kuna binti muigizaji isidingo anavaa wigi yupo very beautiful ila in real life anapendelea nywele zake duh ana komwe kubwa kumzidi zari yaan naona bora angeendelea kuvaa wigi kama tunavyomuona kideon
Ni kweli. Kila mtu na lwake na dhana ya urembo ni tata mno. Hakuna fomyula ila kuna mawigi mengine yanawasha balaa [emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️
 
Hadithi zinazosemekana kutokea kwa valentine day

Inasemekana kwamba Kaisari wakati huo alikuwa Claudius II : yeye aliona kuwa askari mkakamavu na bora zaidi ni yule asiyeoa wala kuwa na familia (kapera). Hivyo alipiga marufuku ndoa kwa askari.
 
Hard Angled Eye Brows:



Ni muhimu kuupa uso pembe pande zote iwezekanavyo, Hii inaweza kupatikana with a high or sharp arch, inasemekana ni wanja bora kwa wenye uso wa duara. Arch mwembamba hufanya uso uonekane mpana zaidi, hivyo unapaswa kuepuka aina hio ya wanja au nyusi.
 
Soft Angled Eye Brows:



Wanawake wenye nyuso za duara wanaweza kupaka soft angled eyebrows na hard-angled, soft angled eyebrows zina soft peaks & curves,shape hii inaweza kuachive high au low arches, high arch ni bora zaidi kwa maana ina fanya uso wako uonekane mwembamba kuliko ulivyo kwawaida.aina hii ya nyusi inafanya uso wako uonekane kijana zaidi na ni mzuri unafanya watu wenye nyuso pana kuonekana nyembamba na wenye uso mfupi kuwa kuonekana mrefu.
 
Wengi wetu ni wapenzi wa juice ya hili tunda na wengi tunaitumia majumbani kupunguza uzito, lakini kumbe ukwaju una matumizi mengi tofauti tofauti ukianzia kwenye afya, urembo na hata nywele.
 
Kuna hadithi nyingine ya kuwa akiwa gerezani Valentinus aliandika barua ambayo ilikuwa na salamu za kwanza za Valentine kwa binti aliyekuja kumsalimia gerezani; mwisho wa barua alihitimisha kwa maneno haya: Kutoka kwa Valentinus wako .
Toka hapo Valentine anakumbukwa kama mtetezi wa wapendanao na sikukuu yake kuadhimishwa kote duniani.
 
Namna ya kufanya

loweka tunda za ukwaju katika maji ya moto kwa dakika kumi
toa mbegu na ubaki na juice nzito ya ukwaju
ongeza manjano katika juice hio ya ukwaju\
paka mchanganyiko wako katika uso wako na uache kwa dakika 15
osha kwa maji ya vuguvugu
 
Hivi kwanini huwa hamuyapendi?
Maana hii kauli nimeisikia kwa watu/wanaume wengi.
Ila wanawake hufanya hivyo ili waonekane warembo zaidi mbele yenu.
Yanawasha balaa japo kuna wengine huwa yanawapendeza. Ila kwangu ni afadhali unyoe kipara kuliko kuvaa wigi aisee. Ni total turn off [emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️
 
Back
Top Bottom