Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

ananenepa maini na bandama nafikiri[emoji23][emoji23][emoji23]
yaani ka mimi,kwa siku nakula hata mara 6(small meals)ila sijui chakula kinaenda wapi aiseeh!!
Itabidi nifanye uchunguzi nijui mahala chakula kinaenda maana si kawaida[emoji23][emoji23][emoji23]

Nilikuwa natania
[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]
 
Usitumie moto ku-style au kukausha wig lako
Kama ilivyo katika nywele zako mwenyewe, kutumia moto katika nywele kunaweza kuharibu nywele. Ikiwa una wig la synthetic, joto kutoka kwenye chuma cha curling au hair dryer linaweza kusababisha wig kuyeyuka. Ikiwa hujui jinsi ya kutengeneza wig lako, nenda salon wa kusaidie kufanya mabadiliko unayotaka. Kidokezo
Kama kuna kitu sikipendi kwa mwanamke ni haya mawigi. Ningekuwa rais aisee nayapiga marufuku kabisa...!!!
 
ananenepa maini na bandama nafikiri[emoji23][emoji23][emoji23]
yaani ka mimi,kwa siku nakula hata mara 6(small meals)ila sijui chakula kinaenda wapi aiseeh!!
Itabidi nifanye uchunguzi nijui mahala chakula kinaenda maana si kawaida[emoji23][emoji23][emoji23]

Nilikuwa natania
Na mimi natania vile vile (ezi yujo !!!)
 
Kama kuna kitu sikipendi kwa mwanamke ni haya mawigi. Ningekuwa rais aisee nayapiga marufuku kabisa...!!!
Hahhahaa starehe za watu hizo. Wigi zinaongeza mvuto bana. Kuna binti muigizaji isidingo anavaa wigi yupo very beautiful ila in real life anapendelea nywele zake duh ana komwe kubwa kumzidi zari yaan naona bora angeendelea kuvaa wigi kama tunavyomuona kideon
 
Norma. Ndiye anashikilia rekodi ya Guiness ya kuwa na mtindi mkubwa natural duniani. Anasumbuliwa na matatizo sugu ya mgongo na madaktari wamemshauri kupunguza hayo matiti lakini yeye amegoma kwa sababu ndiyo yanamfanya apige hela ndefu hasa ukizingatia kuwa kwa wazungu matiti makubwa ni mali sana. Huwa analipwa mpaka dola 10,000 kuhudhuria pati mbalimbali...
4dade4c2287e212dd21c0d64147bd556.jpg
 
Back
Top Bottom