carbamazepine
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 46,577
- 285,648
I know[emoji4] [emoji4]Na mimi natania vile vile (ezi yujo !!!)
I know[emoji4] [emoji4]Na mimi natania vile vile (ezi yujo !!!)
MmhUnishindi mm
Ha ha haHahhahaa starehe za watu hizo. Wigi zinaongeza mvuto bana. Kuna binti muigizaji isidingo anavaa wigi yupo very beautiful ila in real life anapendelea nywele zake duh ana komwe kubwa kumzidi zari yaan naona bora angeendelea kuvaa wigi kama tunavyomuona kideon
Kwanini?Unishindi mm
Wewe mwanachama mpya wa CHAWAMITA?Sio mimi eeeehe sio mimi
Anaefanya hivyo naona anapenda vitu fekiKwanini?
Huyu akinyonyesha mtoto inatakiwa aangaliwe kwa ukaribu maana anaweza mfunika mtoto usiku aiseh!Norma. Ndiye anashikilia rekodi ya Guiness ya kuwa na mtindi mkubwa natural duniani.
![]()
Hivyo tu??Anaefanya hivyo naona anapenda vitu feki
We hapana nilikaribishwa na kadi lakini nilikataaWewe mwanachama mpya wa CHAWAMITA?
KweliHuyu akinyonyesha mtoto inatakiwa aangaliwe kwa ukaribu maana anaweza mfunika mtoto usiku aiseh!
Mimi huwa siwafuatilii hao wanasayansi uchwara. Nakula ninachotaka ila in moderation na nabadili badili.Sasa unakula chakula cha aina gani?
Mana vyakula karibia vyote wanasema si vizuri