Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Jamaniiiiiii !!!

Nilishawahi kutupa moja baada ya kuchoshwa na miwasho aisee moto ulioniwakia mpaka leo sitakaa nisahau. Hata baada ya kujitolea kununua jingine tena la bei kubwa zaidi, moto ukawa uko pale pale. Kuanzia hapo niko mwangalifu sana !!!

Pole shemeji,kama napata picha ulivyokuwa umwnywea[emoji23][emoji23][emoji23]
Hapana chezea wanawake na nywele zao
 
Hahahaha mie muhenga,bongo fleva na nyimbo za akina cole na jakito sizijui kabisaa

Msiba wa madilu ulinipita nahisi nilikua huko gerezani(hahaha boarding school)
Jean de Dieu Makiese 'madilu' amefarikiAugost 2007. Ulikuwa bodingi sikuli?
Mwe mwe mweeeee.....wee mtoto!! Kumbe ngukina na abhana abhanini bhosa muno[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…