myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Mkoromije mwenzangu kausha basi hii ni mada kesi ujue,huyu huyu coleeee maneno yamemponyokaHapo sasa. Na mwingine naye kasema eti sasa nywele zilishakua anasuka. Mhhhh !!!
Hawayuuu beibii[emoji7][emoji7]Beibiiiii[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji137] [emoji137] [emoji1] [emoji1]
HahahahaInawezekana anatunga mashairi saizi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hili linaitwa fumanizi mubasharaMkoromije mwenzangu kausha basi hii ni mada kesi ujue,huyu huyu coleeee maneno yamemponyoka
[emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120]Kila kitu kitakuwa sawa hatimaye...
Fumaniz bab kubwa zaidi ya lile la recho kukamatwa na fekero insta[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hili linaitwa fumanizi mubashara
Mwite cole aje mwambie namngoja
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji23] [emoji23] [emoji23] seya wa mivalooo[emoji445] [emoji444] [emoji443] [emoji444] [emoji445] [emoji443][emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️. Hata ukikaa na mvaaji kwenye daladala au mwendo kasi halafu akakosea likakugusa mkononi au usoni, kujikuna kwake si kwa kawaida. Naomba niishie hapo kwa leo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Lakini ni kicheko kinachokufa...kina muda wa uhai. Kimejaa fadhaa,huambatana na machozi ya kulenga lenga. Hakina tiba,kina sababisha sura kukosa nuru.Wakati mwingine tabasamu/kicheko ni njia nzuri sana ya kuficha yale tuyabebayo ndani ya mioyo yetu.
Cole muoga sijapata ona[emoji23][emoji23][emoji23]Fumaniz bab kubwa zaidi ya lile la recho kukamatwa na fekero insta
Maskin cole naona kaenda kujipanga upyaaa