Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

0129C6C2-763E-4EF0-A24E-FEA5EB2CB970.jpeg
 
Wapendwa. Leo lazima nikiri kuwa ilikuwa siku nzuri sana. Mpaka Numbisa leo kaweza kuchati tena kwa muda mrefu. Asanteni sana na binafsi nimefurahi sana. Ikitokea kukawa na ye yote aliyekwazika basi tusameheane na kusonga mbele. Binafsi sijisikii vizuri kuanzia juzi na nipo humu kujibaraguza tu lakini naendelea na dozi. Inabidi sasa nilale japo bado saa 10 jioni. Mungu Akipenda tusemeshane tena kesho au mida ya wanga usingizi ukiniishia. Tumshukuru Mungu daima [emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
Stay blessed bro
Mungu atakuponya Tu
 
Viganja vya mikono kuwa vigumu ni kutokana na kufanya kazi mbalimbali, Kusgua masufuria, kushika mikaa, kubeba vitu vizito na kazi nyingine mbalimbali, kwa wanaume kuwa na mikono migumu si big deal maana wenyewe wanasema uanaume ni ukakamavu lakini kwa wanawake ni tofauti hawataki kusikia swala la wao ni wagumu.
 
Wengine hata kutoa salamu na mkono hawataki kisa tu wanahisi wataonekana na mikono migumu, well ondokana na hii hadha kwa kufanya hivi ukiwa nyumbani kama weekend au wakati wowote upatapo muda.
 
Mahitaji

Sukari – Vijiko viwili vya chai

almoind skin care oil – vijiko viwili (unaweza kutumia mafuta ya nazi)

Kijiko kimoja cha vipande vya ganda la limao vilivyo kwanguliwa
 
Namna Ya Kufanya



Changanya mahitaji yako katika kibakuli,chukua kiasi na anza kupaka (kusugua) katika vganja vyako fanya hivyo kwa muda mpaka utakapo ridhika na matokeo, kisha osha mikono yako na chukua mafuta ujipake ilimikono yako isiwe mikavu. Unaweza kuhifadhi mabaki ya mchanganyiko wako katika fridge na kutumia tena pale utakapo hitaji kutumia.
 
Miguu ndio sehemu ambayo husahaulika sana, wengi wetu tukisha oga na kuipaka mafuta basi siku imeisha hatuijali kama sehemu nyingine za mwili lakini nani asiependa kuwa smooth mwili mzima? hamna si ndio? inawezekana tunaisahau kwa sababu product zake si nyingi kama viungo vingine lakini unaweza kutengeneza hii scrub nyumbani na ikakupa matokeo mazuri tu.
 
Namna Ya Kufanya

Kamua limao zima katika bakuli lako, kisha changanya sukari na mafuta ya nazi katika hilo hilo bakuli lenye juice ya limao baada ya hapo changanya mpaka mchangiko wako uchanganyike vizuri, kwa kutumia mikono paka mchanganyiko wako miguuni na usugue kwa muda kisha osha miguu kwa maji, jikaushe na upake lotion yako.
 
Kuna kila aina ya rangi duniani, na ukiongelea kuhusu urembo kila kampuni inajaribu kuna na rangi za midomo mbalimbali ili kuwaridhisha wateja wao kuanzia nude color, pink, orange, purple na nyingine nyingi tumeziona zikija kwenye trend na kuondoka lakini a mother of them all ni red lipstick.
 
Well there is something about red lipstck, its always a good to go accesory pale unapokuwa unataka kutoka na unataka kuipa sura yako nuru. ni kama magic unapokuwa in a bad day na kupaka red lipstick inakupa nuru katika uso wako na hata kuipa nuru outfit yako.
 
Red Lipstick inakupa feminine look lakini pia ina boost confidence yako, hatujui whats with redlipstick mpaka ina kuwa powerful kiasi hiki lakini pale unapoogelea rangi nyekundu inasimama pande mbili kwenye upendo lakini pia hatari labda ni sababu kubwa ya red lipstick kuwa na nguvu tofauti na rangi nyingine.
 
Back
Top Bottom