Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Mkufunzi wa zamani wa Watford Marco Silva ameitishia klabu hiyo na hatuakali za kisheria kwa kuwa bado anasubiri kulipwa fidia baada ya kufutwa kazi mnamo mwezi Januari.(Times - subscription required)
 
Mkufunzi wa Ujerumani Joachim Low ndio anayelengwa na Real Madrid kuchukua mahala pake Zinedine Zidane kama mkufunzi mwishoni mwa msimu huu. (Mundo Deportivo - in Spanish)
 
Washauri wa Mahrez wanadai Leicester walikuwa tayari wamekubali kumruhusu kuondoka iwapo klabu kubwa ingetoa dau la £50m lakini bado ikakataa ombi la klabu ya Manchester City mwezi Januari. (Mirror)
 
Mshambuliaji wa Arsenal na Ufaransa Alexandre Lacazette yuko chini ya presha katika uwanja wa emirates na huenda akaondoka mwisho wa msimu huu kulingana na mchezaji wa zamani wa Arsenal Emmanuel Petit.(Sun)
 
Winga wa Leicester na Algeria mwenye umri wa miaka 26 Riyad Mahrez anataka klabu yake kumuhakikishia kuwa ataruhusiwa kuondoka mwisho wa msimu huu kabla ya kurui katika mamzoezi.. (Times - subscription required)
 
Mshambuliaji wa klabu ya Borussia Dortmund Christian Pulisic, 19, amekataa kupinga uhamisho wa kuelekea katika klabu ya Manchester United, Klabu aliyokuwa akiishabikia akiwa mtoto. (Mail)
 
Mshambuliaji wa klabu ya Borussia Dortmund Christian Pulisic, 19, amekataa kupinga uhamisho wa kuelekea katika klabu ya Manchester United, Klabu aliyokuwa akiishabikia akiwa mtoto. (Mail)
 
[emoji111][emoji111][emoji111][emoji111][emoji111][emoji111][emoji111][emoji111][emoji111][emoji111][emoji111][emoji111][emoji111][emoji111][emoji111][emoji122]
 
2FAF5852-BF55-426F-9CD7-5EC51EA6DAB3.jpeg
 
Rais wa kwanza duniani aliyepata PhD kwa lugha ya kiingereza ila ni ni incompetent kwenye kiingereza cha kuongea pengine Na kuandika anaitwa alcohol anapatikana nchi ya kusadikika katika sayari ya venus
 
Rais wa kwanza duniani mwenye kuongea lugha mama huku akijua wazi kuwa Taifa lina zaidi ya makabila 100 anaitwa Rais kiherehere anapatikana nchi ya kuadikika katika sayari ya Mars
 
Back
Top Bottom