Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Po
**** kabisa. Achana na mimi. Mseng*** nini
Poovuuu hio uliyoitaja ninayo moto moto,pole weeee marinda mlendemko

Umuofia kwenu wanajf, Jana nilipigiwa simu na star times wakinishawi nilipie kifurushi cha uhuru kwa 24000 kwa mwezi. Katika mazungumzo niliwaambia sina huo upumbafu wenu,nikawauliza ni kwanini local channels bado zinalipiwa?

Walichonijibu ni kwamba,natakiwa kulipia 50000 ili niweze kuona bure local channels.

Je,hivi TCRA kazi yenu imefail au?

Hawa star times wako juu ya sheria??

Nawasilisha.
 
Back
Top Bottom