myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Ars vs Tot 0-1 dakika ya 67
Unataka kuwa ben 10?(samahani lakini)Nahitaji kurumenywa jamani. Any takers? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]![]()
Nakwambia ni shida. Za miaka mkuu?Ngosha na vyura[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Njema mkuu, yaani umejichimbia huku tuuuuuNakwambia ni shida. Za miaka mkuu?
Nilifikiri utajitolea kunirumenya? Badala yake unauliza maswali tena? Kha !!!Unataka kuwa ben 10?(samahani lakini)
[emoji125] [emoji125] [emoji125]
Kwingine huko nikienda nikikumbana na matusi naona nirudi huku tu. Naona nimekuwa mvivu ila mambo ya muhimu nafuatilia mf. ishu zenu za Forex.Njema mkuu, yaani umejichimbia huku tuuuuu
Kipenzi unauza au?
Mpanaji haogopi matusi bossKwingine huko nikienda nikikumbana na matusi naona nirudi huku tu. Naona nimekuwa mvivu ila mambo ya muhimu nafuatilia mf. ishu zenu za Forex.