Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

It's a beautiful day
tapatalk_1518016919889.jpeg
 
Wapendwa. Leo lazima nikiri kuwa ilikuwa siku nzuri sana. Mpaka Numbisa leo kaweza kuchati tena kwa muda mrefu. Asanteni sana na binafsi nimefurahi sana. Ikitokea kukawa na ye yote aliyekwazika basi tusameheane na kusonga mbele. Binafsi sijisikii vizuri kuanzia juzi na nipo humu kujibaraguza tu lakini naendelea na dozi. Inabidi sasa nilale japo bado saa 10 jioni. Mungu Akipenda tusemeshane tena kesho au mida ya wanga usingizi ukiniishia. Tumshukuru Mungu daima [emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
Upone haraka shemeji
Mungu akufanyie wepesi
 
Back
Top Bottom