Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Kwa kweliWatakatifu waliotakatifishwa na binadamu asiye na utakatifu. Wapumzike kwa amani !!!
Kwa kweliBasi niliisaka hiyo picha kwa karibia lisaa lizima mpaka kwenye server za JF sikuiona. Una bahati sana. Bila shaka ma AMUN RA walikuwa wanakulinda siku hiyo...
Asante sana mpendwa wanguASANTE sis. Umekuja kivingine. Kama ulivyoona tumekuzungumzia sana jana (kwa uzuri tu lakini). Hasa mimi hasa ndo nilikuwa kimbelembele kabisa. Ingekuwa zamani si ajabu ungenitupia kwenye ignore list (ulishawahi kuniweka huko zaidi ya mara mbili nikawa najitetea unanitoa). Safari hii umeishia kucheka tu. Safi sana na karibu tena kwenye uzi wetu pendwa.....
View attachment 693541 View attachment 693542 View attachment 693541 Mbona hao wanawake wengine wenye misambwanda wanafana na hawa
Copyright walahi!