ho chi minh
JF-Expert Member
- Sep 27, 2016
- 32,904
- 163,077
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
ASANTE BRO. Nshamaliza dozi. Nimekwenda jogging. Katika jina kuu la Daktari Mkuu Yesu wa Nazareti NIMESHAPONA [emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]Stay blessed bro
Mungu atakuponya Tu
Niliamua kulala kabisa kabisa fofofo gete gete....SHIMBA YA BUYENZE, sikuoni mida ya wanga
Lindaa Mlebanoni usu.....
Watakatifu waliotakatifishwa na binadamu asiye na utakatifu. Wapumzike kwa amani !!!
Avatar yako mkuu.....Izo like bado zipo au zimeisha?
ASANTE sis. Umekuja kivingine. Kama ulivyoona tumekuzungumzia sana jana (kwa uzuri tu lakini). Hasa mimi hasa ndo nilikuwa kimbelembele kabisa. Ingekuwa zamani si ajabu ungenitupia kwenye ignore list (ulishawahi kuniweka huko zaidi ya mara mbili nikawa najitetea unanitoa). Safari hii umeishia kucheka tu. Safi sana na karibu tena kwenye uzi wetu pendwa.....Hahahaha
Indeed MONEY LOVES ME!
PESA INANIPENDA SANA SANA!
IMENIPENDELEA NA IKO KWANGU MILELE YOTE!
Basi niliisaka hiyo picha kwa karibia lisaa lizima mpaka kwenye server za JF sikuiona. Una bahati sana. Bila shaka ma AMUN RA walikuwa wanakulinda siku hiyo...Niliiondoa fasta!
Hahahaha