Remba sahani yako – vyakula hivi vinaweza visiwe na sura nzuri sana usoni mwako kwaio jambo jema ni kujaribu kukifanya kiwe kizuri kadri ya uwezo wako na utakavyo weza kula, ongeza taste unazo zipenda, weka vitu vya rangi rangi kama carrot, hoho za kijani, njano, nyekundu etc.
Rudia hizi tips mara kwa mara na utajikuta umezoa.
Nude shoes are new black shoes, karibu kila Fashionista ana pair ya nude heels or flats. Rangi ya viatu hivi ni blush creamy beige zina-compliment every outfit just like black shoe.
1) ukitaka kuonekana mrefu – nude shoes zinaendana na skin tone za watu wengi, ukitaka kuonekana una urefu kidogo vaa nude shoes au pants zinazo karibiana rangi na rangi ya ngozi yako.
2) Unapo taka Attention iwe kwenye nguo zaidi – nude shoes blend in na ngozi hii ina fanya attention iwe kwenye outfit yako more kuliko kuwa kwenye viatu au miguuni.
Kama ambavyo binadamu tunategemeana na mimea na wanyama katika kupata mahitaji yetu basi ndivyo ilivyo katika mahitaji ya jikoni na urembo na afya, kuna vyakula ambavyo unaweza ukala lakini pia unaweza kutumia katika urembo.
Baada ya hapo safisha uso wako kwa maji ya uvuguvugu kisha jikaushe kwa taulo au kitambaa kisafi.
Baada ya kuhakikisha uso wako uko safi paka mchanganyiko huo kwa kuusambaza uso mzima, ikiwezekana pia katika maeneo ya shingoni na pembezoni mwa masikio ili kuzifanya pia sehemu hizo kuwa zenye mvuto wa aina yake.
Changanya unga, maziwa na limao kisha paka usoni mwako au sehemu yoyote ambayo ungependa kung’arisha, massage hio sehemu kwa dakika kadhaa kisha acha mchaganyiko huo katika uso wako mpaka ukauke.