Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

23101612_361064937678929_194862850903113728_n.jpg
 
Hahahaha nimekoma kufunguka mie,ila nililia na vile tulikua tunadanganyana darasani ati nyerere akifa idd amin atakuja kuanzisha vita kuuubwaaa. Weee ile saa tunapata taarifa kafa tuliliaaaa kila mmoja kabeba begi tayar kwa kukimbia vita ikija hahahhaahah
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]eti mlibeba mabegi tayari kwa kukimbia...
Ila last night was fun nilicheka sana
Sema ulibambwa utamu[emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom