andjul
JF-Expert Member
- Dec 14, 2013
- 19,383
- 121,663
Amen[emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120]Kwema boss, Mungu mwema
Amen[emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120]Kwema boss, Mungu mwema
We mzee wewe[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nimeizumu picha,ilivyo zumika nika zumu macho,yalipo zumika,nikaacha macho na picha vizumiane...nilicho kionaaa...
[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] nipo njiani naelekea City pub labda kichwa kitaacha kugonga gonga....
We BAK wewe[emoji23][emoji23]me sili ndizi bhana[emoji85] [emoji85]
DahStretch that body to the maximum
![]()
Hahahaha kumbe na yeye alikua muoga baada ya kukinukisha huku Afrika masharikiPole ila nimecheka sana aisee. Kuna mwanachama mmoja humu nadhani ni Mbu aliwahi kuandika alimuona Nduli Saudi Arabia dukani akinunua kitu dukani. Alivyomuona tu akamtambua basi akamsogelea na kumwamkia shikamoo. Aliiitikia lakini akadai mara baada ya shikamoo ile alionekana ana wasi wasi mkubwa sana kwa kudhani labda kuna watu wanamfuatilia hadi Saudia.
MhWe BAK wewe[emoji23][emoji23]me sili ndizi bhana[emoji85] [emoji85]
Shwari,habari ya wewe