Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

25015373_1918493361736769_1409915446903177216_n.jpg
 
Kupendeza kila siku kuna hitaji juhudi, kujua nini una pendeza ukivaa, uvaaje tunaweza kusema looking good is a work of art. Na hata kama umpenzi vipi wa fashion kuna siku ambazo unaamkia upande wa kushoto hujisikii kabisa ku dress up.
 
Piga pasi – unaweza ukahisi ni kichekesho vipi kupiga pasi kuna weza kukufanya uwe stylish? ukiwa katika zile lazy days za kuto kujisikia kuvaa sana nyoosha nguo zako vizuri hata kama utakuwa umevaa jeans na t shirt a good ironing always makes you look smart.
 
Pole ila nimecheka sana aisee. Kuna mwanachama mmoja humu nadhani ni Mbu aliwahi kuandika alimuona Nduli Saudi Arabia dukani akinunua kitu dukani. Alivyomuona tu akamtambua basi akamsogelea na kumwamkia shikamoo. Aliiitikia lakini akadai mara baada ya shikamoo ile alionekana ana wasi wasi mkubwa sana kwa kudhani labda kuna watu wanamfuatilia hadi Saudia.

Badala ya kunipa pole hahaha
 
Back
Top Bottom