myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hahahahahahaha sawa Carba. Carba hali ndizi siku zote ijulikane hivyo hazipendi kabisa kuanzia rangi yake, muonekano wake na hata ladha yake.
Gabriel nakapenda haka ka bidada
Shkamo jirani
Tatoo
Basi kheri.Mimi mzima kabisa, namshukuru Muumba kwa kweli!
Hiyo tatoo iko sehemu gani jirani mbona me sijaiona?[emoji124] [emoji124]Tatoo
Kweli mkuuUmeiona eeh! Imeshakuwa ni fashion kwa wengi siku hizi. Baadhi zinawapendeza kama hawana nyingi kupita kiasi lakini wale ambao wamezijaza kwa fujo mie huona kama ni uchafu. Too much of anything is harmful.
Gabriel nakapenda haka ka bidada
Kwenye pipi jirani...Hiyo tatoo iko sehemu gani jirani mbona me sijaiona?[emoji124] [emoji124]
Tattoo mwili mzima ukivua nguo ka ukuta wa choo cha shule ya msingi[emoji125] [emoji125] [emoji125]Umeiona eeh! Imeshakuwa ni fashion kwa wengi siku hizi. Baadhi zinawapendeza kama hawana nyingi kupita kiasi lakini wale ambao wamezijaza kwa fujo mie huona kama ni uchafu. Too much of anything is harmful.