myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
21:40
[emoji3] [emoji3] [emoji3]Niliamua kulala kabisa kabisa fofofo gete gete....
[emoji3] [emoji3] [emoji3]ASANTE sis. Umekuja kivingine. Kama ulivyoona tumekuzungumzia sana jana (kwa uzuri tu lakini). Hasa mimi hasa ndo nilikuwa kimbelembele kabisa. Ingekuwa zamani si ajabu ungenitupia kwenye ignore list (ulishawahi kuniweka huko zaidi ya mara mbili nikawa najitetea unanitoa). Safari hii umeishia kucheka tu. Safi sana na karibu tena kwenye uzi wetu pendwa.....
Hahahaa jirani...Shkamo jirani
Hahahaha kumbe na yeye alikua muoga baada ya kukinukisha huku Afrika mashariki
Hatari..Huu mkao mh!
![]()
Kaone !!![emoji23][emoji23]nimeelewa sasa
Shemeji kipenziKaone !!!
[emoji124] [emoji124] [emoji124] labda la 5A akiwa amebeba fagio na kidumu
[emoji125] [emoji125] [emoji125] buroo jo....Mh!anaonekana ni mkali wa.........
Kumbe nimepatia[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hahahaha nimekoma kufunguka mie,ila nililia na vile tulikua tunadanganyana darasani ati nyerere akifa idd amin atakuja kuanzisha vita kuuubwaaa. Weee ile saa tunapata taarifa kafa tuliliaaaa kila mmoja kabeba begi tayar kwa kukimbia vita ikija hahahhaahah