BAK
JF-Expert Member
- Feb 11, 2007
- 124,767
- 288,340
Heshima yako Mkuu. Siku hizi naona participation yako hapa jamvini imepungua sana Mkuu. Ni aje?
Mh!Tattoo mwili mzima ukivua nguo ka ukuta wa choo cha shule ya msingi[emoji125] [emoji125] [emoji125]
Tattoo mwili mzima ukivua nguo ka ukuta wa choo cha shule ya msingi[emoji125] [emoji125] [emoji125]
Masikini dah!Mie pia halafu kako open minded. Kumbe masikini anajaribu kupata mtoto japo mmoja tu lakini mimba kadhaa zimeshaharibika. Nadhani ni zaidi ya saba pamoja na kujaribu wataalamu wa kupandikiza lakini bado hajafanikiwa.
Jirani unamachoKwenye pipi jirani...
Hakika Mungu ni mwema uzima upo.Heshima yako Mkuu. Siku hizi naona participation yako hapa jamvini imepungua sana Mkuu. Ni aje?
Miwani yangu mipya jirani...Jirani unamacho
Hakika Mungu ni mwema uzima upo.
Mambo mengi japo hupita kidgo na kuwasoma na kupita hiviii