Mmh mie hata baiskel sina,ukisikia mlio wa daladala jua nipo kituon nafika hahaaJirani yangu carb hana neno..nikisikia mlio wa gari yake tu najua amani ipo ..
Mara nyingi sifatilii sababu sina huwez amin hata baadhi ya habar nnazoweka humu nakua sijazisoma bali nabandika tu hapa na kusepaUkifuatilia maneno ya jirani yana ujumbe mzito sana
Gari unalo ila kusikia sauti ni shida maana unapitia mbali..Mmh mie hata baiskel sina,ukisikia mlio wa daladala jua nipo kituon nafika hahaa
Hata mimi naona [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Numbisa kwisha habari......Aaah jiran ake carba,ipo siku tu utafunguka am waiting
Mh! IlaKuwa tipwa tipwa siyo lazima kuwa na lavu hendozi. Mazoezi muhimu...
Dogo yuko vizuri. Wahakikishe anaingia jeshini akikua [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23]
Yaani unakufa duniani hadi akhera
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Hata mimi naona [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Numbisa kwisha habari......
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ila tuombe mungu asiwe wa kikeDogo yuko vizuri. Wahakikishe anaingia jeshini akikua [emoji23][emoji23][emoji23]