Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Hebu funguka vizuri huu ubuyu tafadhali
Ile ishu ya Hyatt kutoa ofa ya valentine usiku mmoja million 22. Recho akawachamba Hyatt, miss natafuta akakopi maneno ya recho insta na kuyaleta huku JF uzi upo cerebrity,recho kasala kamtukana miss natafuta na vitisho juu kama unavyoona hapo kidogo muhtasar
 
Duh!
Maana nimeenda ista nimekuta acc ni private.
 
Baadhi ya mambo muhimu kuhusu kitambulisho hicho ni kusaidia kuongeza wigo wa mapato ya Serikali, kumtambua mhusika kirahisi anapohitaji kupatiwa huduma katika taasisi mbalimbali kama vile benki, taasisi za mikopo na huduma za afya.
 
Kwa mfano, kupata malipo ya pensheni, haki za matibabu, haki za kujiunga na masomo ikiwa ni pamoja na stahili zozote ambazo raia wa Tanzania anastahili kupata kirahisi kwani kupitia Kitambulisho cha Taifa, mwananchi atatambulika kirahisi (nani ni nani, yuko wapi na anafanya nini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…