He! Sio wa kuvizia Huyo jirani...mwaga mtama atakuja mwenyeweMuone....
Ila naimani nitakupata tu,iko siku[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]
Haya maswali mpaka kuwauliza wahusikaHivi vitambulisho vinapatikanaje? Mtu unahitaji vitu gani ili kuvipata? Na kama uko nje ya nchi unavipataje?
Sina acc kule nilishaifuta kitambo sana.Insta unatumia jina gani? [emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️
Ulinikosa juzi hapa nimejisahau nikaweka picha yangu laivu imekaa karibu masaa manne hapa ndo nikashtuka. Hutanipata tena ng'o [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Muone....
Ila naimani nitakupata tu,iko siku[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]
Na wewe uko kwenye radar jiandae[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]He! Sio wa kuvizia Huyo jirani...mwaga mtama atakuja mwenyewe
[emoji8] [emoji8] [emoji8]Hahahaha
Mh!Na wewe uko kwenye radar jiandae[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]