Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Wafuasi wa Nasa waliandamana baada ya Miguna kunaswa na kuzuilia kwa muda wa siku tano. Mtu mmoja alipigwa risasi na polisi baada ya maandamano hayo kubadilika na kuwa mapambano ya kutwa nzima katika kaunti ya Kisumu.
Magari ya umma kutoka kaunti ya Kericho yalipigwa mawe na wasafiri kutatizika kati ya kaunti za Kericho na Kisumu.
Magari ya umma kutoka kaunti ya Kericho yalipigwa mawe na wasafiri kutatizika kati ya kaunti za Kericho na Kisumu.