Burgos?
Picha nimeipata kwenye huu uziDuh!
Maana nimeenda ista nimekuta acc ni private.
Mkuu niaje habari za masikuUsingizi ukileta utata unahamia kijiweni kumwaga likes
Mkuu
Noted with thanks, Mkuu!Bila matusi!
Sayansi iko sahihi..ila siku zijazo utagundulika utafiti mwingine ufute utafiti wa mwanzo..ngoja computer zenye nguvu zijeHawking nimemsikiliza wee na madocumentaries kibao lakini akili inagoma kuikumbatia dhana yenyewe...
Nawe pia mkuuMuwe na usiku mwema wote nawapenda sana.
Word...Mpaka jamaa wa Ancient Aliens wakawa wanadai kwamba siri pekee ya kuishi milele ni kugundua jinsi ya kuishi ndani ya Blackhole. Eti hata mbinguni inawezekena ni ndani ya liblackhole likuubwa wajanja walishagundua jinsi ya kuishinda gravity ya humo. Na kwa vile hakuna muda basi watu mnaishi milele na milele. Wanasayansi wana vituko sana !!!Sayansi iko sahihi..ila siku zijazo utagundulika utafiti mwingine ufute utafiti wa mwanzo..ngoja computer zenye nguvu zije