myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
00:00
Sawa ndio ninapokula daily hapo japo wengine wanapenda niende chini kidogoNini hiko?
Sana...miaka 20 kutoka sasa supercomputer na kwenye vituo vya Deep Space Network watakuwa na mengine kabisa..Word...Mpaka jamaa wa Ancient Aliens wakawa wanadai kwamba siri pekee ya kuishi milele ni kugundua jinsi ya kuishi ndani ya Blackhole. Eti hata mbinguni inawezekena ni ndani ya libkackhole likuubwa wajanja walishagundua jinsi ya kuishinda gravity ya humo. Na kwa vile hakuna muda basi watu mnaishi milele na milele. Wanasayansi wana vituko sana !!!
Ngoma nzito..
Tuvizianeni tu. Sijui nani atawahiwa. Nyie maandaeitini nyinyi lazima tuwafahamu aisee [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]