Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Rage wa snoop hivi bado yupo kwenye game
Ndio Kiongozi.

Ila si kivile.

Sema kukiwa na Tamasha kubwa, SNOOP huwa anapanda nae wakiwa wanatumbuiza Vibao vyao vya zamani alivyoshirikiana nae.

Kuna kipindi cha Miaka michache iliyopita nilimuona Luningani kwenye Tamasha la UFUKWENI akiwa anatumbuiza pamoja na KURUPT, na DAZ DILLINGER
 
The New Xscape they modified their name to Xscape3 because Kandi is no longer with the group.
CC: HARUFU

27892394_2075661802720052_4914630810801274880_n.jpg
Just now saw this.

Thanks for sharing BAK
 
Sina Cha Kuvaa” hili neno linatumika karibu na kila mwanamke ifikapo asubuhi anataka kwenda kazini,wakati wa mitoko nakadhalika, lakini cha kushagaza makabati huwa yamejaa nguo mbali mbali lakini bado huwa tunakosa cha kuvaa (confusing right?).
 
Wengi huwa tunanunua nguo nyingi kila siku kwa kudhani tu hatuna nguo za kutosha maana kila mara tunakosa cha kuvaa, Calm down nguo unazo za kutosha unahitaji kujua tips hizi chache za nini cha kufanya unapo hisi huna cha kuvaa.
 
Vaa nguo nyeusi full – wanasema “when in doupt wear black” na “you never go wrong with black” lakini pia neutral color ni angi nzuri pale unapo hisi huna cha kuvaa rangi kama nyeusi, beige,nyeupe ni chaguo zuri linapo kuja swala la kukosa cha kuvaa
 
Basic white t-shirt na flat shoes – ni chaguo lingine zuri linalo weza kukusaidia pale unapo kwama kujua uvae nini kitu kizuri kuhusu white tee na flat shoes unaweza kustyle na chochote suruali,skirt au kaptura
 
Accessorize – chukua attention ya mavazi na weka katika urembo, vaa hereni au mikufu inayo shout itakayo wafanya watu waache ku-concetrate na mavazi yako na kuwa wana concentrate na accessory zako
 
Back
Top Bottom