Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Licha ya Mkutano wa 10 wa Bunge la 11 uliomalizika juzi kuwa mahsusi kwa ajili ya kamati za kudumu kuwasilisha taarifa zake ambazo hufuatiwa na mijadala mizito hasa ya ufisadi, safari hii haikuwa hiyo pekee kwani kuna mambo matano makubwa yaliyoibuka na kutikisa chombo hicho, baadhi yakiwa hayatokani na taarifa hizo.
 
Katika mkutano huo uliofanyika kwa siku 12 na kumalizika juzi, kamati zilizowasilisha taarifa zake ni; Hesabu za Serikali (PAC); Hesabu za Serikali za Mitaa (LAAC); Bajeti; Uwekezaji na Mitaji ya Umma (PIC); Viwanda, Biashara na M|azingira.
 
1026FA52-C1E9-4BD1-A17F-53BEEB842ED7.jpeg
 
Katika mkutano huo uliofanyika kwa siku 12 na kumalizika juzi, kamati zilizowasilisha taarifa zake ni; Hesabu za Serikali (PAC); Hesabu za Serikali za Mitaa (LAAC); Bajeti; Uwekezaji na Mitaji ya Umma (PIC);
 
Mbunge wa Momba (Chadema), David Silinde alisema taarifa zinaonyesha kuwa ufisadi ndani ya nchi bado umeendelea kuwapo na kwamba mradi huo umekuwa ukitekelezwa kwa gharama za Dola 40 milioni za Marekani.
 
Kuna taarifa nimezipata kuwa mradi huo ulikuwa na thamani ya dola 16 milioni za Marekani sawa na paundi 11 milioni. Kuna taarifa kwamba kampuni ambayo ilishapewa hati ya makubaliano ambayo hayakusainiwa hadi dakika ya mwisho, lakini mwisho wa siku ilipewa kampuni ya HID,” alisema.
 
Mbali na Silinde suala hilo lilizungumziwa pia na Mbunge wa Tarime Vijijini (Chadema), John Heche na mwenzake wa Iringa Mjini, Mchungaji Peter Msigwa ambaye alitakiwa na Naibu Spika, Dk Tulia Ackson kuwasilisha nyaraka za ushahidi kuhusu ufisadi wa mradi huo wa hati za kusafiria kwa kamati ya Maadili, Haki na Madaraka ya Bunge.
 
Back
Top Bottom