Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

FB_IMG_1511358684292.jpg
hii kweli au uongo
 
Bado kuna umuhimu mkubwa wa kuwa na fao la kujitoa kama lilivyokuwa linatolewa na mifuko iliyokuwapo. Bado ni la msingi na lazima kwani mwanachama anakuwa tayari na akiba yake hivyo inakuwa ni mtaji wa kumtoa kwenye umaskini wa kipato,” alisema.
 
Mbunge wa Geita Mjini (CCM), Constatine Kanyasu alisema anatoka katika mkoa ambao una wachimbaji wa madini wengi na mgogoro wake mkubwa siku nyingi umekuwa ni fao la kujitoa.
 
Hata hivyo, Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri wa Mkuu (Sera, Bunge, Kazi, Ajira, Vijana na Watu Wenye Ulemavu), Jenista Mhagama alisema hakuna nchi yoyote ambayo mifuko ya jamii ina fao la kujitoa lakini Serikali kwa kutambua umuhimu huo, imeweka fao la upotevu wa ajira.
 
Mapendekezo ya kamati hiyo yalionekana kuwagusa wabunge wengi baada ya mbunge wa Lupa (CCM), Victor Mwambalaswa wakati akichangia taarifa hiyo kutoa mfano wa tukio la kupigwa risasi kwa mbunge wa Singida Mashariki (Chadema), Tundu Lissu na hivyo kupendekeza wabunge walindwe.
 
Wakati Dk Tulia, akiagiza Serikali kulifanyia kazi suala la ulinzi na uwekaji wa namba maalumu kwa magari ya wabunge kama ilivyopendekezwa na kamati, Waziri wa Mambo ya Ndani, Dk Mwigulu Nchemba na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais (Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora), George Mkuchika walipangua hoja za mapendekezo ya kamati hiyo kuhusu ulinzi wa wabunge na kuhusishwa na yale yaliyohusu idara ya Usalama wa Taifa.
 
Hoja ya kukosekana kwa maji

Waziri wa Maji na Umwagiliaji, Isack Kamwelwe alijikuta katika wakati mgumu baada ya wabunge wengi kumbana wakitaka majibu ya maji kutokana na hoja ya dharura ya mbunge wa Nzega (CCM), Hussein Bashe.
 
Bashe aliwataja mawaziri hao kuwa ni Dk Philip Mpango (Fedha), Dk Medrad Kalemani (Nishati), Kamwelwe na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais (Tamisemi), Seleman Jafo kwamba wamesababisha wananchi wa jimbo lake kukosa maji kwa siku ya 13 mfululizo.
 
Back
Top Bottom