Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

ASANTE sana mkuu. Mimi hata hivyo siyo GT. Unakumbuka ulivyokuwa unaniita pale mwanzoni kabla sijashusha picha za Malkia wako ISIS? Uzi huu ushakuwa familia kwa baadhi yetu na bila kupita hapa siku haiendi...
Ila enzi hizo bana ilikua poa,hakuna kujuana wala kuzoeana baasi kila kitu unakosoa tu
 
Ila enzi hizo bana ilikua poa,hakuna kujuana wala kuzoeana baasi kila kitu unakosoa tu
Hata sasa kukosoa kupo ingawa kutoa povu aisee ni ngumu kwa sababu tumekuwa kama ndugu. Wewe mwenyewe tu ukikoseaga na kuniita mkuu huwa nanuna balaa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Fasheni zenu maandaeitini. Hata kumechisha viatu hamtaki sasa...cc Yegomasika, carbamazepine, Numbisa.....
1ee87a6c3f8a4450ce0dd40429253f6e.jpg
 
Back
Top Bottom