Kitabu chema mkuu. Na kusoma wakati uko milionea tayari ni raha sana...Dada nipo sana Kitabu kimenibana kidogo Ndo maana.
[emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106]Nakuona unavyotabasamu
Nipo mkuuMzee wa liver
Duh!Dada nipo sana Kitabu kimenibana kidogo Ndo maana.
Tuko wengi tuJamani mnisamehe kwa kuwa adimu hukuu
Hahaha nakumbuka mkuu kweli huu Uzi unatufanya kuwa familia mojaASANTE sana mkuu. Mimi hata hivyo siyo GT. Unakumbuka ulivyokuwa unaniita pale mwanzoni kabla sijashusha picha za Malkia wako ISIS? Uzi huu ushakuwa familia kwa baadhi yetu na bila kupita hapa siku haiendi...
Mtoto[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Yupo ila kabanwa na majukumu. Halafu inaonekana alichokuwa anakitafuta keshakipata [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Maracist wamekasirika mbaya...Eti hii ndiyo sura ya Waingereza wa kwanza kabisa !!!
Okay Cisy.Catch you later my dear
Jack danielGordons
Na kwako pia my dearJioni njema wana likes