Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Katibu mkuu wa Chama cha Jubilee Raphael Tuju, kiongozi wa walio wengi bungeni, Aden Duale na jaji na viongozi wengine wa chama cha juu walisema maoni ya wajumbe hao wa kigeni yanadhihirisha kwamba hakuna nafasi ya 'rais wa watu'.
 
Serikali ya Kenya na upinzani wamekuwa katika mvutano tangu Januari 30 kilipoandaliwa kiapo cha Odinga kama 'rais wa watu'.
 
Wabunge wa upinzani wamekamatwa, walipokonywa hati zao za kusafiria na kuondolewa walinzi wao na kilele cha yote ni kuondolewa kwa mwanasheria machachari Miguna Miguna na kupelekwa Canada.
 
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imepanga Februari 14 na 15, mwaka huu kuendelea na ushahidi wa upande wa mashtaka katika kesi ya uhujumu uchumi na kujihusisha na biashara ya meno ya tembo inayomkabili Salvius Matembo na wenzake wawili.

Mbali na Matembo, washtakiwa wengine katika kesi hiyo ni Philemon Manase na raia wa China anayedaiwa kuwa Malkia wa Pembe za Ndovu, Yang Feng Glan (66) ambao kwa pamoja wanakabiliwa na kesi ya uhujumu uchumi kwa kujihusisha na biashara ya Meno ya Tembo yenye thamani ya Sh13 bilioni.

Wakili wa Serikali Elizabeth Mkunde alidai mbele ya Hakimu Mkazi Mkuu wa mahakama hiyo, leo Februari 12, 2018, Huruma Shahidi kuwa shauri hilo lilikuja kwa ajili ya kuendelea na ushahidi lakini mawakili wanaoliendesha wapo Mahakama ya Rufaa wakiendelea na kesi nyingine.
 
Washtakiwa wote wapo mbele ya mahakama yako, ila mawakili wanaoendesha shauri hili wapo Mahakama ya Rufaa wakiendelea na kesi nyingine, hivyo tunaomba tarehe nyingine kwa ajili ya kuendelea na ushahidi," alidai Wakili Elizabeth.

Soma: Shahidi akwamisha usikilizaji kesi ya meno ya tembo

Washtakiwa wote wanatetewa na mawakili wanne ambao ni Nehemiah Nkoko, Hassan Kihangio, Alex Mgongolwa na Jamuhuri Johnson.

Awali, wakili wa utetezi Nehemiah Nkoko alidai kuwa upande wa mashtaka walipaswa kutoa taarifa mahakamani hapo kama hawatakuwepo mahakamani hapo jana.

"Mheshimiwa hakimu, kesi hii ni ya muda mrefu tangu mwaka 2014, tunaamini ofisi ya DPP ina mawakili wengi ambao leo wangeendelea kusikiliza shauri hili, kuliko kuendelea kupoteza muda kwa kuahirisha kesi hii, " alidai Nkoko.
 
Naye mshtakiwa wa tatu katika kesi hiyo, Yang Feng Glan alinyoosha mkono na kumuomba Hakimu Shahidi kuwataka upande wa mashtaka kuleta mashahidi hata watatu ili kesi hiyo iweze kwisha haraka.

"Mheshimiwa hakimu naomba uzungumze na upande wa mashtaka ili waje na mashahidi wengi na kesi hii iweze kwisha haraka," alidai mshtakiwa Feng.

Baada ya kusikiliza maelezo ya pande zote Hakimu Shahidi aliahirisha kesi hiyo hadi Februari 14 na 15, mwaka huu kesi hiyo itakaposikilizwa mfululizo.

Katika kesi ya msingi, washtakiwa kwa pamoja wanakabiliwa na kesi ya uhujumu uchumi kwa kujihusisha na meno ya tembo yenye thamani ya Sh13 bilioni.

Washtakiwa hao wanadaiwa kuwa kati ya Januari Mosi, 2000 na Mei 22, 2014 walijihusisha na biashara ya nyara za Serikali.
 
698df2a5f22922ad6385f0c09f48706a.jpg
 
Rais wa zamani wa Liberia Ellen Johnson Sirleaf ameshinda tuzo ya mwaka ya Ibrahim kwa Uongozi wa Afrika - ambayo hupewa viongozi wa Afrika ambao wameonekana kuwa na utawala mzuri.
Ellen Johnson Sirleaf amekuwa mwanamke wa kwanza barani Afrika kushika nafasi ya Urais mwaka 2006 na kumaliza muda wake mwezi uliopita baada ya kuhudumu kwa mihula miwili.
 
Kamati ya Utendaji ya tuzo ya Ibrahim imesema Ellen Johnson Sirleaf ameonesha uongozi wa kipekee katika kukabiliana na changamoto zisizowahi kutokea katika awamu zake mbili za uongozi alipokuwa Rais wa Liberia.
Wakati aliposhinda uchaguzi wa Rais nchini humo mwaka 2005, nchi hiyo ilikuwa imegawanyika kutokana na vita vya wenyewe kwa wenyewe vilivyodumu kwa miaka kadhaa na tuzo hiyo ya amani ilikuwa ni kwa ajili ya kumpongeza kusaidia kuiimarisha nchi hiyo.
 
Back
Top Bottom