Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

8FDFF9A6-397F-45E4-8B46-AAAD6B7B4721.jpeg
 
Waliishauri Serikali 'kutekeleza kikamilifu amri za mahakama na kulinda taasisi zote za kidemokrasia', huku wakiutaka upinzani 'lazima ukubali uamuzi wa Mahakama ya Juu wa kutambua uchaguzi wa Oktoba 26' na kuwakubali 'Kenyatta na William Ruto kama Rais na Naibu Rais halali wa Kenya’.
 
Odinga anajibu

Akizungumza na wakazi wa Nairobi ambao nyumba zao ziliungua moto mwezi uliopita, Odinga alishtumu jumuiya ya kimataifa kwa kutumikia maslahi binafsi waliporidhia uchaguzi wa Agosti 8 na marudio yake Oktoba 26 mwaka jana.
 
Tunataka kuwaambia kwa uwazi kwamba Kenya ni nchi huru na matatizo ya Kenya yatatatuliwa na Wakenya wenyewe. Wanaweza tu kuwa waangalizi," alisema Odinga.
 
Waliishauri Serikali 'kutekeleza kikamilifu amri za mahakama na kulinda taasisi zote za kidemokrasia', huku wakiutaka upinzani 'lazima ukubali uamuzi wa Mahakama ya Juu wa kutambua uchaguzi wa Oktoba 26' na kuwakubali 'Kenyatta na William Ruto kama Rais na Naibu Rais halali wa Kenya’.
Kenya kimenuka kweli kweli
 
Odinga aliwashauri mabalozi hao kuwaacha Wakenya watatue matatizo yao na wao wabaki na wajibu wao kama 'waangalizi'.
 
Tunataka kuwaambia kwa uwazi kwamba Kenya ni nchi huru na matatizo ya Kenya yatatatuliwa na Wakenya wenyewe. Wanaweza tu kuwa waangalizi," alisema Odinga.
 
Jubilee wafurahia

Hata hivyo, viongozi wa chama tawala cha Jubilee walipokea maoni ya wanadiplomasia hao waliosisitizia 'kutambuliwa kwa Kenyatta kama rais aliyechaguliwa kihalali na Kenya.'
 
Katibu mkuu wa Chama cha Jubilee Raphael Tuju, kiongozi wa walio wengi bungeni, Aden Duale na jaji na viongozi wengine wa chama cha juu walisema maoni ya wajumbe hao wa kigeni yanadhihirisha kwamba hakuna nafasi ya 'rais wa watu'.
 
Back
Top Bottom