Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

5ca3f18f204aec8a48d146a09ef9885a.jpg
 
Rais Filipe Nyusi wiki iliyopita alitangaza mpango wa ugawanaji madaraka na Rais wa Renamo Afonso Dhlakama ambao utawaongezea uwezo marais hao wawili na vyama vyao.
 
Rais Filipe Nyusi wiki iliyopita alitangaza mpango wa ugawanaji madaraka na Rais wa Renamo Afonso Dhlakama ambao utawaongezea uwezo marais hao wawili na vyama vyao.
 
Kipengele muhimu katika mkataba huo kilikuwa kuongezeka kwa nguvu za mabaraza ya majimbo na manispaa, lakini hakuna magavana wa kuchaguliwa na kuanzia mwaka huu iwe mwisho kwa meya waliochaguliwa. Kutokana na makubaliano hayo hakutakuwa na uchaguzi wa mameya Oktoba mwaka huu.
 
Back
Top Bottom