Huwa hamtabiriki bana unakunja sura huku moyon unacheeeka kwa kutoa kakitisho kadogo tuWe nawe. Tangu lini sponsor akaamkiwa shikamoo? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Haya mambo hufanyi ili ushukuriwe. Ukifanya hivyo unaharibu kila kitu. Mimi mara nyingi hata sitaki wanifahamu. Ni juu yao na Mungu wao japo ombi langu ni kwamba nao siku moja they will pass it forward kwa kuwasaidia wengine pia...Mungu ni mwema [emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]Duh sponsor wa ukweli.
Pamoja na kwamba ni jambo jema ila kwa mie mmh hapana kwa kweli. Kwa ninayoyashuhudia huku,ni wachache mno watakaokushukuru toka moyon na hawatakugeuka mbelen
Aisee !!!Hahahah ipo tafuta kichwa cha habar kingine maana mods wataiunganisha na ya wahenga wa JF