Yegomasika
JF-Expert Member
- Mar 21, 2009
- 13,164
- 61,278
Umekapenda? Nikurushie namba? [emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️
Amekimbia saksafoni kubwa refu zito na nene au ni ishu zingine? [emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️
Shemejiiiii...Na anasura nzito kama mkate wa kumimina pia[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Mwanamitindo, mjasiriamali, mwanasheria msomi na mwanakwaya....Nirushue kwanza resume yake kabla ya yote! [emoji23][emoji23]
Mwanamitindo, mjasiriamali, mwanasheria msomi na mwanakwaya....
Actually ana boti zake mbili za uvuvi huko. Ni Mkara. Hapo yaani ndiyo umejiingiza mwenyewe kabisa !!!Aaah, basi bana! Nilidhani ni mvuvi mwenzangu, ingekuwa rahisi kuanzisha mradi wetu wa uvuvi kule Nansio! [emoji23][emoji23]
Ni sawa na wale waliokuwa wanamkata Michael Jackson mpaka wakamaliza pua yote..Madaktari wengine hawafai...
Actually ana boti zake mbili za uvuvi huko. Ni Mkara. Hapo yaani ndiyo umejiingiza mwenyewe kabisa !!!