Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kiungo wa kati wa klabu ya Hull City nchini Uingereza Ryan Mason amelazimika kustaafu akiwa na umri wa miaka 26 kufuatia jeraha la fuvu la kichwa alilopata katika mechi dhidi ya Chelsea 2017.
Mason ambaye aliichezea Uingereza mara moja 2015 alilazimika kufanyiwa upasuaji baada ya kichwa chake kugongana na kile cha beki wa Chelsea Gary Cahill.
Uamuzi wake wa kustaafu unafuatia ushauri wa madaktari wa upasuaji wa neva.
 
Alifanyiwa upasuaji katika hospitali ya St Mary mjini London , ambapo alikaa kwa wiki moja na amezungumza kuhusu kuwa na bahati ya kuwa hai.
Mason alianza mazoezi na klabu hiyo tena mwezi Mei mwaka uliopita lakini hakuna tarehe ya yeye kurudi iliotolewa na baadaye mkufunzi wa klabu hiyo Leonid Slutsky alisema mwezi Agosti mwaka uliopita swali sio kuhusu soka bali kuhusu maisha yake wakati mchezaji huyo alipokutana na mtaalam wa tatu.
 
Niko safarini nakuja kwako nitafika J5 ya tar 14 february 2018 unipokee! situmii chakula wala kinywaji Chochote. Nahitaji Amani, Upendo, Upole, Ukarimu, Matumaini, sala, tafakari Na Kusameheana. Nitakaa Kwako Siku 40 tu. Ni mimi KWARESIMA!. Naomba uwakumbushe na wengine
Ubarikiwe sana!
 
b65558ed9f09b174205ebb7debec2c85.jpg
Ama ni Photoshop au ni mbwembwe tu za kutaka kuonekana. Hakuna rais mwenye mbwembwe na mikogo kama Putin...
 
Mithali 28:13
Afichaye dhambi zake hatafanikiwa; Bali yeye aziungamaye na kuziacha atapata rehema.
Dhambi nazo king'ang'anizi dah. Mtu unaamka asubuhi kwa nia njema kabisa mara paaaap ushasema kauongo tayari... Tutaokolewa kwa neema tu kwa kweli na si vinginevyo...[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
 
Back
Top Bottom